Shamim Mwasha ,launches an online competition for 5Million worth of Farming Implements
Shamim Mwasha ambassador of OXFAM
NIKIWA KAMA BALOZI WA KAMPENI YA GROW YA OXFAM LEO NIMEZINDUA RASMI KAMPENI YANGU YA KUHAMASISHA WANATAALUMA WASHIRIKI KATIKA KUMSAIDIA MWANAMKE MKULIMA ILI AWEZE EPUKANA NA UMASKINI,

NILIKUWA SAMBAMBA NA MWANAHAMISI SALIM MENEJA WA USHAWISHI NA UENEZI WA HAKI ZA KIUCHUMI WA GROW TANZANIA AMBAYE ANASIMAMIA KAMPENI HII YA GROW
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home